2.1. Dhamira: Kuwa familia iliyojengwa kwa msingi wa upendo, mshikamano, heshima, na mafanikio ya kiuchumi. 2.2. Malengo:
Katiba hii inaweza kufanyiwa marekebisho endapo theluthi mbili (2/3) ya wanachama wote wataridhia katika mkutano mkuu.